Ratiba

JUMAPILI – 28/09/2025
10:00 JioniWajumbe Kuwasili & UsajiliElizabeth Katuma
 
JUMATATU – 29/09/2025
1:30 – 2:00 AsbWajumbe Kuwasili UkumbiniWote
2:00-2:30 AsbSaa ya Sala & NyimboEng. Eliamini Mgonja
2:30-4:00 AsbIbada ya Asubuhi
Ukaribisho wa Jumla Wimbo NZK Ombi
Utambulisho Wimbo wa Kwaya
Hubiri & Ombi
Pr. Switta E Stevens
Eng. Eliamini Mgonja
Pr. Marco Barnabas
Pr. Onesmo Daniel
Kwaya Alikwa
Pr. Dr. David Mpwani
 
4:00-4:15 AsbMapumzikoWote
 
4:15-4:45 AsbUtangulizi wa Shughuli za Kikao (Preliminaries to Business Session)
Kauli ya Kukidhi Matakwa ya KatibaPr. Onesmo Daniel
Maelekezo ya Taratibu za VikaoPr. Enock Sando
Kufungua Mkutano RasmiPr. Onesmo Daniel  
Kupokea Makanisa Mapya
Kuketisha Wajumbe
Kauli ya Utume
Ratiba ya Mkutano
Kamati za Huduma
Wimbo wa KwayaEng. Eliamini Mgonja
 
4:45 Asb – 7:00 MchnShughuli za Kikao (Business Session)
 Katiba na Sheria Ndogo NdogoPr. Onesmo Daniel
 Wasilisho la Mwenyekiti wa SNCPr. Beatus Mlozi
 Taarifa ya Katibu Mkuu wa SNCPr. Onesmo Daniel
 Taarifa ya Mhazini wa SNCEld. Mwita Machage
 Kuunda Kamati ya UchaguziPr. Dr. David Mpwani
 
7:00-8:00 MchnChakula cha MchanaPr. Marco F Mlingwa
 
8:00-11:30 JioniShughuli za Kikao (Business Session)
 Taarifa za WakurugenziWakurugenzi SNC
 Taarifa ya Kamati ya UchaguziPr. Dr. David Mpwani
 Ombi MaalumPr. Dr. David Mpwani
 
11:30-12:00 JioniHitimisho 
 Neno la ShukraniMhazini SNC
 MatangazoKatibu SNC
 Kufunga Mkutano na Ombi la MwishoMwenyekiti SNC