Ikiwa hutaki kukosa chochote wakati wa Mkutano Mkuu wa South Nyanza Conference, kurasa zifuatazo ndio majukwaa na vyanzo rasmi vya habari kwa Kanisa la Waadventista wa Sabato SNC. Hapa utapata kila kitu kinachoendelea katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Kirumba unapofanyika Mkutano Mkuu wa Tisa wa SNC.
Youtube – Hope Media SNC
Ukurasa rasmi wa South Nyanza Conference katika mtandao wa YouTube
Facebook – South Nyanza Conference of SDA
Ukurasa rasmi wa South Nyanza Conference katika mtandao wa Facebook
Instagram – South Nyanza Conference
Ukurasa rasmi wa South Nyanza Conference katika mtandao wa Instagram